JOHN TERRY NJE YA UWANJA SIKU KUMI

NAHODHA wa Chelsea, John Terry, 35, atakuwa nje ya uwanja kwa siku 10 kufuatia kuumia enka katika sare ya 2-2 dhidi ya Swansea hivyo hataweza kuivaa Liverpool kwenye mechi yao ijayo.

No comments