KOCHA Jose Mourinho bado hajaamua iwapo nahodha wake Wayne Rooney ataanza katika mchezo wa  Europa League kwenye dimba la Old Trafford dhidi ya Zorya Luhansk Alhamisi usiku.

Ingawa Rooney jana alishiriki mazoezi akiwa fiti kabisa, lakini mshambuliaji huyo alikosa mazoezi siku ya Jumanne kufuatia maumivu ya mgongo.

Hata hivyo Jose Mourinho amethibitisha kuwa Zlatan Ibrahimovic ataanza katika mchezo huo.
Manchester United captain Wayne Rooney was in high spirits during training on Wednesday
Nahodha wa Manchester United  Wayne Rooney (kulia) akiwa mazoezi siku ya Jumatano
United manager Jose Mourinho is yet to make a decision on whether the striker will play
Kocha Jose Mourinho bado hajaamua kama Rooney ataanza au la
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac