JUSTIN BIEBER AVAMIWA AKIWA NIGHT CLUB

STAA wa muziki, Justin Bieber alivamiwa na mtu asiyejulikana wakati akiwa kwenye moja kati ya kumbi za usiku.

Video moja imeonyesha dogo huyo akipata kinywaji ndani ya kundi la watu ndani ya baa hiyo na ndipo mtu asiyejulikana alipomvamia.


Hata hivyo Bieber mwenye ambaye amekuwa akihusika kwenye matukio mengi ya utata alifanikiwa kuponya baada ya rafiki yake John shahidi kumzuia mvamiaji huyo.

No comments