JUVENTUS WAWAULIZA EVERTON WANAOMTAKA KINDA WAO GRIGORIS KASTANOS "MNA HELA?"

MABINGWA wa Ligi Kuu Italia, Juventus wamewahoji Everton ya England kuwa wana hela ya kumsajili kinda Grigoris Kastanos?


Everton wamekunwa na kiwango cha Kastonos, kinda mwenye miaka 18 lakini mwenye mambo makubwa.

No comments