Habari

KALIDOU KOULIBALY ANAYEFUKUZIWA NA CHELSEA AONGEZEWA MKATABA NAPOLI

on

KITENDO cha Chelsea kumfukuzia
mlinzi mahiri wa Senegal, Kalidou Koulibaly, kimempa ulaji baada ya klabu yake
ya Napoli ya Italia kuamua kumuongezea mkataba mpya wa kuitumikia klabu hiyo.

Jumatatu hii Koulibaly
alikubali kusaini mkataba mpya wa miaka mitano kuitumikia Napoli inayoongoza
Ligi Kuu ya Italia, hivyo atakuwepo hapo hadi mwaka 2021.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *