KIPA BRAVO ASEMA AMEKIMBILIA CITY KUKWEPA BENCHI BARCELONA


Kipa wa Barcerlona Claudio Bravo amebainisha kuwa amejiunga na Manchester City kukwepa tu kuwekwa benchi Barcolona na kipa wao namba moja wa sasa Marc Andre Ter Stegen.

No comments