KIPIGO CHA PSG DHIDI YA TOULOUSE CHAMTISHA THIAGO SILVA

THIAGO Silva ametishwa na kuyumba kwa PSG kufuatia kuchapwa 2-0 dhidi ya Toulouse Ijumaa.


PSG imepoteza mechi mbili tayari kati  ya saba wakati msimu mzima uliopita ndio ilipoteza mbili.

No comments