KIUNGO CHARLES N'ZOGBIA KUMFUATA BALOTELLI UFARANSA

KIUNGO wa zamani wa Aston Villa, Charles N’Zogbia anakaribia kujiunga na Nantes ya Ufaransa.


Hivi karibuni klabu hiyo ilimsajili mchezaji mkorofi Mario Barotelli ambaye alifunga mabao mawili katika mchezo wake wa kwanza kwenye kikosi hicho.

No comments