KLABU NNE KUBWA ZILIMTAKA ARIKSEN KABLA HAJAANGUKA TOTTENHAM


ATLETICO Madrid, Manchester United, Juventus na PSG wote walikuwa wakitaka kumsajili kiungo wa Tottenham, Christian Eriksen, 24, kabla hajasaini mkataba wa miaka minne wa kubaki klabuni hapo.

No comments