KOCHA PSG AMBWATUKIA BEN ARFA NA KUMWAMBIA "WEWE SIO MESSI"

KOCHA wa PSG, Unai Emery amembwatukia Hatem Ben Arfa Akimwambia "wewe sio Messi", kufuatia winga huyo kulalamika kuanzishwa mechi mbili tu kati ya sita.

No comments