KOCHA WA CRYSTAL PALACE ASEMA HAJAMSAJILI JONATHAN BENTEKE KUMFURAHISHA KAKA YAKE


KOCHA wa Crystal Palace, Alan Pardew amekanusha madai kwamba amemsajili straika yosso, Jonathan Benteke, 21, ili tu kumfanya kaka yake Christian Benteke awe na furaha klabuni hapo.

No comments