KOCHA WA ZAMANI WA TOTTENHAM AMPA GARETH BALE TUZO YA BALLON D'OR

KOCHA wa zamani wa Tottenham, Harry Redknapp amesema nyota wake wa zamani wa klabu hiyo, Gareth Bale anastahili kushinda tuzo ya Ballon d’Or na akitua klabu yoyote kubwa ya England ataipa ubingwa wa Ligi.

No comments