KUMBE ILIBAKI KIDUCHU NEYMAR ANGETUA MAN UNITED AU PSG


STRAIKA Mbrazil, Neymar, 24, alikaribia kujiungana Manchester United au PSG katika dirisha lililopita la uhamisho, lakini akachagua kubaki Barcelona licha ya mshahara kuwa pungufu ambao angelipwa kama angeondoka, amesema wakala wake.

No comments