Habari

LEICESTER KUMCHUKUA SCHNEIDERLIN IWAPO DRINKWATER ATAKWENDA MANCHESTER UNITED

on

LEICESTER itahitaji kupewa Morgan Schneiderlin iwapo Danny Drinkwater  atakwenda Manchester United.
Drinkwater amekuwa akihusishwa kurejea Old Trafford kwa pauni milioni 30 katika usajili wa dirisha dogo  la Januari.
Kiungo huyo wa kimataifa wa England alijiunga Leicester mwaka 2012 kwa ada ambayo haikuwekwa wazi.
Lakini sasa United inataka kumsajili tena mchezaji wake huyo wa zamani huku Leicester City wakihitaji ndani ya dili hilo wapewe kiungo Morgan Schneiderlin ambaye amekosa nafasi ya kudumu Old Trafford tangu asajiliwe msimu uliopita kutoka Southampton.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *