LEICESTER YAIPA MASHARTI MAGUMU MAN UNITED INAYOMWITAJI DANNY DRINKWATER

MABINGWA watetezi wa England klabu ya Leicester City inaitaka klabu ya Manchecter United imtoe Morgan Schneiderlin na pauni mil 20 kama inamuhitaji kiungo wake Danny Drinkwater.


Kocha wa United Jose Mourinho amehusishwa na mpango wa kumsajili Drinkwater kwenye dirisha dogo la usajili wa Januari licha ya kupewa mkataba mpya na Leicester wenye kipengele cha kukusanya mshahara wa pauni mil 90, 000 kwa wiki.

No comments