LIGI YA MABINGWA: REAL MADRID YABANWA, JUVE YAUA, LEICESTER YAPETA, TOTTENHAM MAMBO SAFI


LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imeendelea tena Septemba 27 katika hatua ya makundi ambapo mabingwa watetezi Real Madrdi wamelazimishwa sare ya 2-2 dhidi ya Borussia Dortmund.

Mabingwa wa England Leicester City wameinyuka  FC Porto 1 – 0 huku Tottenham wakipata ushindi kama huo ugenini kwa CSKA Moscow.

Juventus imeibuigiza Dinamo Zagreb 4-0 huku kipigo kama hicho pia kikipelekwa kwa Club Brugge kutoka kwa FC Koebenhavn.

Matokeo ya mechi zote zilizochezwa Jumanne usiku ni kama ifuatavyo:

Champions League - Group E
CSKA Moscow 0 - 1 Tottenham Hotspur
Monaco 1 - 1 Bayer Leverkusen

Champions League - Group F
Borussia Dortmund 2 - 2 Real Madrid
Sporting CP 2 - 0 Legia Warszawa

Champions League - Group G
FC Koebenhavn 4 - 0 Club Brugge
Leicester City 1 - 0 FC Porto

Champions League - Group H
Dinamo Zagreb 0 - 4 Juventus

Sevilla 1 - 0 Lyon

No comments