LIVERPOOL WAIZIDI UJANJA TOTTENHAM KWA MSHAMBULIAJI LUCAS ALARIO WA RIVER PLATE

TIMU ya Liverpool imeyanasa mazungumzo ya Tottenham kutaka kumsajili mshambuliaji tishio wa River Plate ya Brazil, Lucas Alario.


Kilichotokea, Liver wamewazunguuka Spurs na kuanza kumshawishi mchezaji huyo atue Anfield baada ya kusikia dau la mshambuliaji huyo mwenye miaka 25 ni pauni mil 15.2 pekee.

No comments