Beki wa Manchester United, Luke Shaw, 21, amefanyiwa vipimo  baada ya kubainika kuwa aliumia mguu katika kipindi cha kwanza cha mechi waliyolala 3-1 dhidi ya Watford jumapili.

Nyota huyo alikosekana kwenye mchezo wa EFL Cup dhidi ya Northampton wakati United ikiibuka na ushindi wa 3-1.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac