LULU ASISITIZA HUU NI MUDA WAKE MWAFAKA WA KUPATA MTOTO

STAA wa Bongo Movies Elizabeth Michael Lulu amerudia kauli yake ya siku nyingi kwamba sasa ndiyo wakati wake muafaka wa kumpata mtoto.

Kimwana huyo aliye katika mahosiano na mmiliki wa kituo cha radio alisema suala la kupata mtoto Alisha liweka wazi muda mrefu uliopita akawa ameliacha lilinyo na kwamba ameirudia kwa mara nyingine ili kuonyesha jinsi alivyodhamilia kupata mtoto.

“Kwa sasa ninahitaji kuwa na mtoto na niko tayari na tena ninahitaji mtoto wa kiume,aliandika Lulu kwenye mtandao wake wa Instagramu na kuomba mungu amjaalie kutimiza ndoto yake hiyo.


 “Kwa sasa ninahitaji kuwa na mtoto na niko tayali na tena ninahitaji mtoto wakiume,’ aliandika Lulu kwenye mtandao wake wa Instagram na kumuomba mungu amjaaliye kutimiza ndoto yake hiyo.

No comments