MAJERAHA YA MISULI YA NYAMA ZA PAJA YAMREJESHA LOIC REMY MANCHESTER UNITED

STRAIKA wa Chelsea, Loic Remy amerudi klabuni hapo kwa ajili ya matibabu baada ya kuumia misuli ya nyama za paja akiwa mazoezini na klabu ya Crystal Palace ambako anakipiga kwa mkopo.

No comments