Habari

MAMA WA CRISTIANO RONALDO NAYE ANENA BAADA YA MWANAE KUTOLEWA NA ZIDANE

on

Cristiano Ronaldo amenena baaa ya mwanae kutolewa nje kwa sababu za kiufundi kwa mara ya kwanza ndani ya miaka saba Real Madrid.
Mama huyo amemwambia mwanae kuwa: “Kamwe usiinamishe kichwa chako chini”.
Cristiano Ronaldo was tactically substituted for the first time in his Real Madrid career
Cristiano Ronaldo alitolewa kwa sababu za kiufundi kwa mara tangu ajiunge na Real Madrid
The Portuguese was clearly not impressed with the decision to take him off on Saturday
Ronaldo akionyesha kuchukizwa
Ronaldo barely makes eye contact as coach Zinedine Zidane offers him his hand
Ronaldo anampa mkono Zinedine Zidane bila kumtazama usoni

RONALDO LEAGUE 2016-17 

Mechi alizocheza: 3
Magoli: 1
Mashuti sahihi: aslimia 50 
Nafasi alizotengeneza: 3
Pasi za uhakika: asilimia 82 
Yellow/red cards: 1/0
Zidane alisisitiza kuwa badiliko hilo lilikuwa kwaajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne dhidi ya Borussia Dortmund.
Ronaldo alishangaa kutolewa nje dakika ya 72 katika mchezo wa La Liga Jumamosi dhidi ya Las Palmas ulioisha kwa sare ya 2-2.  
“Sikumtoa Ronaldo kwasababu hakucheza vizuri, ila ni kwasababu tuna mchezo mwingine Jumanne na alisatahili kupumzika,” alisema Zidane.
“Alikuwa akicheza vizuri, kama wachezaji wengine walivyocheza, lakini nilipaswa kufikiria kuhusu Jumanne.”

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *