MAN CITY, LIVERPOOL, ARSENAL KUAMUA HATMA YA KOCHA WA SWANSEA

MECHI tatu zijazo dhidi ya Manchester City, Liverpool na Arsenal pengine zikawa za mwisho kwa kocha wa Swansea City, Francesco Guidolin, kutokana na timu hiyo kufanya vibaya katika mechi zilizopita. 

No comments