
MANCHESTER CITY imeshinda mchezo wao wa sita mfululizo wa Premier League baada ya kuilamba Swansea 3-1.
Kwa matokeo hayo, City inaongoza ligi kwa pointi 18 iliyozizoa katika michezo yake sita.
Swansea: Fabianski 6; Rangel 6.5, Van der Hoorn 6.5, Amat 6.5, Naughton 7; Britton 6.5 (Borja 79), Cork 7 (Ki 73, 6); Routledge 6.5 (Barrow 73, 6), Fer 6.5, Sigurdsson 7; Llorente 7.
Mfungaji: Fernando Llorente (dakika ya 13)
Man City: Bravo 5.5; Sagna 6.5 (Zabaleta 78), Stones 5.5, Otamendi 6, Kolarov 6; Fernandinho 7; De Bruyne 6 (Navas 81), Gundogan 6.5 (Fernando 69, 6), Silva 7, Sterling 7; Aguero 7.5.
Wafungaji: Sergio Aguero (Dak ya 9 na 66), Raheem Sterling (66)

Sergio Aguero ameifungia Manchester City mabao mawili

Raheem Sterling akishangilia bao lake

Pep Guardiola akipooza koo kwa maji

Hata hivyo Manchester City ilipata pigo baada ya Kevin De Bruyne kuumia na kutolewa