MANCHESTER CITY YAMRUKA BEKI ALEX GRIMALDO WA BENFICA

KLABU ya Manchester City imekanusha taarifa kuwa ina mpango wa kumsajili beki wa kushoto wa Benfica, Alex Grimaldo.


Tarifa za awali kutoka Ureno zilisema kuwa Pep Guardiola na kaka yake Pere ambaye ni wakala maarufu, walikuwa uwanjani kumtazama Benfica.

No comments