MANCHESTER CITY YAWAWEKA SOKONI WATATU “KIAINA”

TETESI ziliopo hivi sasa nikwamba klabu ya Manchester City imewaweka sokoni walinzi wake wa tatu Pablo Zabaleta Gael Cilchy na Bacary Sagna.


Kocha wa City, Pep Guardiola aliwaambia wachezaji hao kila mmoja kwa wakati wake kuwa wanapaswa kubadilim aina ya wachezaji wao ikiwa wanataka kupata nafasichini yake.

No comments