MANCHESTER UNITED YABAINIKA ILIMPUNJA FEDHA LOUIS VAN GAAL

IMEBAINIKA kuwa Manchester United ilimpa fedha kiduchu kocha Louis Van Gaal ilipomtimua (pauni mil 8.4), ukilinganisha na pesa pauni mil 10 alizopewa kocha Roberto Martinez alipotimuliwa katika klabu ndogo ya Everton.

No comments