MARCUS RASHFORD KUANZISHWA KWA MARA YA KWANZA CHINI YA MOURINHO KESHO

MARCUS Rashford, 18, anajiandaa kuanzishwa kwa mara ya kwanza chini ya Jose Mourinho msimu huu wakati Manchester United itakapoikabili Feyenoord kwenye Ligi ya Europa kesho. 

No comments