Habari

MARCUS RASHFORD KUREJESHWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND

on

Marcus Rashford has not been named in the England Under 21 squad
Marcus Rashford hajachaguliwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England chini ya miaka 21 ikiaminika kuwa mshambuliaji huyo wa Manchester United anarejeshwa kwenye kikosi cha wakubwa.
Rashford, aliyekuwa sehemu ya kikosi cha England kwenye Euro 2016, hakuwa kwenye mipango ya kocha aliyeachia ngazi Sam Allardyce katika mchezo pekee aliouongoza mapema mwezi huu dhidi ya Slovakia.
Hata hivyo baada ya kufunga magoli manne kwenye mechi saba alizoichezea Manchester United msimu huu, pamoja na hat-trick katika England-21 katika mchezo dhidi 6-1, kinda huyo sasa anatarajia kuitwa na kocha wa muda  Gareth Southgate.
Rashford atajumuishwa kwenye kikosi kitakachoumana na Malta pamoja na Slovenia katika kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la dunia.
The Manchester United forward is set for a return to the senior setup
Marcus Rashford mbioni kurejeshwa timu ya taifa

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *