MAROUANE CHAMAKH ANUKIA PALERMO

KLABU ya ya Palermo inaangalia uwezekano wa kumsajili nyota wa zamani wa Crystal Palace Marouane Chamakh.


Straika huyo mwenye umri wa miaka 32 amekuwa akifanya mazoezi na West Brom baada ya Palace Kumtolea nje.

No comments