MASON HOLGATE ASEMA KIU YA MAFANIKIO ILIMFANYA AITOSE SWANSEA NA KUTUA EVERTON

MCHEZAJI Mason Holgate amefunguka na kusema kuwa aliitosa Swansea City na kutua Everton kutokana na kutaka mafanikio.


Staa huyo alisema kuwa yeye na mwenzake John Stones walitakiwa na timu hiyo miaka mitatu iliyopita wakati wawakiitumikia Barnesley na kwenda zao Everton ambako kulikuwa na matumaini ya kufika mbali.

No comments