Habari

MASTAA WA MANCHESTER UNITED WALIVYOREJEA MAZOEZINI NA NDIGA ZAO ZA BEI MBAYA

on

AKITOKA kupiga hat-trick kwenye mechi yake ya kwanza ya England U21, Marcus Rashford aliungana na wachezaji wenzake wa Manchester United siku ya Jumatano kwenye uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo – Carrington.
Wachezaji wa Manchester United walianza kurejea ‘kambini’ wakitokea kwenye majukumu ya kuziwakilisha nchi zao ambapo kocha Jose Mourinho alikuwa akiwasubiri tayari kwa kuanza maandalizi ya mchezo wa Premier League dhidi ya watani zao Manchester City Jumamosi hii.
Marcus Rashford was happy to pose for pictures with young fans outside Carrington
Marcus Rashford alikuwa na uso wa tabasamu wakati alipokuwa akiwasili Carrington
Rashford arrived back at Manchester United fresh from a hat-trick for England Under 21s
Rashford akiwasili Manchester United na benz lake
Wayne Rooney was also back with his club ahead of a huge Manchester derby on Saturday
Wayne Rooney 
Henrikh Mkhitaryan picked up a knock with Armenia and may miss the Manchester City clash
Henrikh Mkhitaryan 
Chris Smalling donned some dark glasses as he arrived for training at United on Wednesday
Chris Smalling 
Daley Blind is expected to start in Jose Mourinho's Manchester United defence against City
Daley Blind 
Zlatan Ibrahimovic arrived at Carrington in his black Volvo for training on Wednesday
Zlatan Ibrahimovic 
Morgan Schneiderlin looked pensive at he arrived at Carrington to begin City preparations
Morgan Schneiderlin 
Michael Carrick was among the stars arriving at Manchester United training on Wednesday
Michael Carrick 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *