MICHAEL CARRICK AMKUNA KOCHA JOSE MOURINHO

KIUNGO wa Manchester United Michael Carrick ni kama kamkubali kocha wake Jose Mourinho baada ya kusema kwamba hana mpango wa kubadili timu kutokana 

Katika mchezo huo, Carrick ambaye amekuwa akisugulishwa benchi tangu Mourinho awasili Old Trafford, aliifungia United bao la kwanza katika kipindi cha kwanza.

Mourinho amesema kiungo huyo alionyesha uwezo wa hali ya juu, sio tu kwasababu ya kufunga, bali pia kwa namna alivyodhibiti dimba la kati na kusambaza mipira kwa pasi zenye macho.

No comments