MLINZI LAMINE KONE WA SUNDERLAND AONGEZEWA MKATABA WA MIAKA MITANO

MLINZI wa Sunderland, Lamine Kone ataendelea klabuni hapo kwa muda mrefu zaidi baada ya kupewa mkataba mpya wa miaka mitano.

Kabla ya kusaini mkataba huo, staa huyo mwenye umri wa miaka 27 alikuwa akimezewa mate na Everton.

No comments