Habari

MOURINHO LAWAMANI KWA KUMLEA WAYNE ROONEY MANCHESTER UNITED

on

The Red Devils look on dejected after losing their third game in a week away at Watford 
Manchester United imepoteza mechi tatu mfululizo na iko nyuma ya mahasimu wao Manchester City kwa pointi sita kwenye mbio za kusaka taji la Premier League.
Mshambuliaji wa zamani wa Blackburn Rovers, Chris Sutton ambaye kwasasa ni mchambuzi wa soka, anamtaja Wayne Rooney kama tatizo kuu kwa Manchester United.
Sutton anasema kama Pep Guardiola angekuwa kocha wa Manchester United, basi Rooney angechinjiwa baharini mapema.
“Rooney ni tatizo, sio kwa Jose Mourinho tu bali hata kwa kocha wa England Sam Allardyce. Katika nafasi anayocheza kuna wachezaji wazuri kuliko yeye kwa England na  kwa Manchester United,”  anaeleza Sutton.
Sutton anasema Henrikh Mkhitaryan mchezaji wa kiwango cha juu Ujerumani kwa msimu uliopita, anatosha kuvaa ‘kiatu’ cha Rooney kwenye nafasi ya namba 10 ya Manchester United huku  Dele Alli akistahili kumkata namba Rooney timu ya taifa.
Manchester United and captain Wayne Rooney are struggling for form this season
Nahodha wa Manchester United  Wayne Rooney lawamani
One of our experts believes Pep Guardiola would have dropped Rooney from the team by now
Inaaminika kuwa kama Pep Guardiola angekuwa kocha wa United angempiga benchi Rooney 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *