STAA wa michezo ya tenisi, Stan Wawrinka, ameanza vizuri michuano ya St Petersburg Open baada ya kumchakaza mpinzani wake kwa 6-3 6-1.

Hii ni mala ya kwanza kwa nyota huyo raia wa Uswis kuingia uwaqnjaniu baada ya kuibuka kidedea katika micjhuano ya Us Open.


Katika mashindano ya Us Open iliyomalizika mwanzoni mwa mwezi huu Wawrinka alichukua taji lake la tatu la mashindano malkubwa baada ya kumsambaratisha mkali Novak Djokovic.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac