MWANDISHI AMVAMIA BALOTELLI CHUMBANI ANAKOFANYIWA MASAJI NA KUMKABIDHI TUZO YAKE YA NYOTA WA MCHEZO

MWANDISHI wa habari alimvamia Mario Balotelli chumbani alikokuwa akifanyiwa “masaji” bada ya mnechi ili kumkabidhi straika huyo mpya wa Nice tuzo yake ya Nyota wa Mchezo baada ya kufunga magoli mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Marseille Jumapili.

No comments