MWIGIZAJI mahiri wa Nollywood, Funke Akindele maarufu kama "Jenifa" mwenye miaka 39, ameingia kwenye kashifa nyingine, safari hii akidaiwa kujihusisha na usagaji.

Msanii huyo mzaliwa wa Ikorodu ambaye alifunga pingu za maisha kwa mbwembwe na Kehinde Oloyede kabla ya kutengana mwaka jana, anadaiwa kujirusha na vimwana kadhaa wa chuo kikuu cha University of Lagos.


Kashfa zake zime kuwa zikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter ambapo Funke ameshindwa kujitokeza kukana kashfa hizo.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac