NEW AUDIO: SIKILIZA KITU KIPYA KUTOKA KWA RUBY "WALE WALE" ...NI JIWE GIZANIBINTI mwenye sauti tamu Ruby ameshuka na wimbo mpya unaokwenda kwa jina la “Wale Wale” ambao ndani yake ni kama anatupa jiwe gizani kumpiga dongo mtu fulani.

Ni kazi nzuri kutoka kwa mkono wa Man Walter …ISIKILIZE HAPO JUU

No comments