PETR CECH AKERWA KUSUGULISHWA BENCHI NA ARSENE WENGER

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger inasemekana kuwa ameingia katika msigano na kipa wake, Petr Cech mwenye miaka 34, baada ya benchi kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Wenger alidokeza kwa watu wake wa karibu kuwa David Ospina raia wa Colombia mwenye miaka 28, ndie atasimama langoni kuanzia mechi ya juzi waliyotoka sare ya bao 1-1 na Paris Saint-Germain na nyingine zote za makundi.  

No comments