PHIL JONES anatarajiwa kurejea mazoezini wiki ijayo baada ya kupona mguu wake.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 24 aliumia goti mazoezini mapema mwezi huu ambapo kocha Jose Mourinho alimtabiria kukaa nje ya dimba kwa wiki nne.

Kurejea kwa Jones kutamwongezea wigo mpana Mourinho kwenye safu ya ulinzi.

Phil Jones is closing in on a return to the Manchester United squad after injury
Phil Jones anakaribia kurejea dimbani 
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac