Habari

PICHA 10 ZA JAHAZI WALIVYOKAMUA TRAVERTINE JUMAPILI USIKU … ila Jumapili mbili zijazo hawatakuwepo Travertine Hotel

on

KUNDI la Jahazi Modern Taarab Jumapili usiku liliendeleza makamuzi yao
ya kila mwisho wa wiki kwenye kiwanja chao cha nyumbani – Travertine Hotel
Magomeni jijini Dar es Salaam.
Waimbaji kama Prince Amigo, Mohamed Ally “Mtoto Pori”, Chiriku Khadija
Yussuf, Mishi Mohamed, Fatma Mcharuko na wengine wengi wakatesa kwa zamu mmoja
baada ya mwingine.
Hata hivyo raha za kundi hilo zitakosekana Travertine Hotel kwa
Jumapili mbili zijazo kutokana na ugeni mkubwa utakaokuwepo hotelini hapo,
ugeni kutoka Jumuiya ya kidini ambayo imeomba kuwe na utulivu wa kutosha kwa
muda wote watakaokuwa hapo.
 Fatma Kassim
 Fatma Mcharuko
 Khadija Yussuf
 Mgeni Kisoda
 Mish Mohamed
 Mtoto Pori
 Mwasiti Mbwana
 Rajab Kondo
Safu ya waimbaji wa Jahazi Jumapili usiku ndani ya Travertine

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *