PICHA 17: MASHAUZI CLASSIC WALIVYOKAMUA IDD MOSI MANGO GARDEN


KUNDI la Mashauzi Classic Modern Taarab chini ya Isha Mashauzi anayetesa pia kwenye muziki wa rumba, lilifanya makamuzi yake kwenye ukumbi wa Mango Garden Kinondoni siku ya Idd Mosi.


Pata picha 17 za onyesho hilo la Mashauzi Classic ndani ya Mango Garden.
 Hashim Said akipagawisha mashabiki
 Isha na mdogo wake Saida Ramadhan wakiimba wimbo "Asiyekujua Hakuthamini"
 Saida Ramadhan
Hashim Said
Isha Mashauzi
 Abdumalick Shaaban
Asia Mzinga
Mashabiki wakisakata goma la Mashauzi
 Kali Kitimoto kwenye kinanda
 Madansa wa Mashauzi jukwaani
 Mariam mwimbaji chipukizi wa Mashauzi Classic
 Hivi ndiyo mashabiki wa Mashauzi walivyokula Idd yao Mango Garden
Rahma akiimba moja ya nyimbo za Mashauzi Classic
 Wadau wa Mashauzi Classic wakifuatilia onyesho kwa makini
 Waimbaji wa Mashauzi Classic
 Mwimbaji Zubeida Malick akionyesha mbwembwe zake jukwaani
Zuhura akitupia masauti yake
No comments