Habari

PICHA 20: BITCHUKA ALIVYOREJEA JUKWAA LA SIKINDE USIKU HUU DDC KARIAKOO

on

MWIMBAJI
gwiji wa muziki wa dansi mwenye sauti ya aina yake Hassan Rehani Bitchuka
“Stereo”, amerejea rasmi jukwaani Jumapili hii katika ukumbi wa DDCKariakoo
jijini Dar Salaam.
Bitchuka
akiwa na kundi zima la Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae” akawakonga
nyoyo mashabiki wake ambao walimkosa kwa miezi miwili kutokana na kuugua jicho.
Mwimbaji huyo
alipanda jukwaani majira ya saa 3:15 uaiku na kukamua mfululizo wa nyimbo kibao
zikiwemo “Kibogoyo”, “Mendeleo Yangu”, 
“Umekumbuka Shuka Usiku umekucha”, “Usia wa Babu”, “Bubu Ataka Kusema”,
“Aija”,  “Jinamizi la Talaka” na “Wali Nazi”
Pata picha 20
za onyesho hilo la Sikinde.
 Bitchuka jukwaani
 Juma Choka kwenye drums
 Bitchuka akifanya makamuzi
 Abdallah Hemba
 Ali Jamwaka na tumba zake
 Habib Jeff naye akizigonga drums
 Kaingilila Maufi akilikomesha gitaa la solo
 Karama Regessu akiimba moja ya nyimbo za Sikinde
 Hassan Kunyata
 Shaban Lendi kwenye saxaphone
 Mashabiki wa Sikinde kwa raha zao
 Mbaraka Othman akipuliza trumpet
 Hamis Mirambo naye kwenye trumpet
 Mjusi Shemboza akilinyanyasa gitaa la kati
 Bitchuka akiongoza safu ya waimbaji wa Sikinde
 Bitchuka
 Tony Karama kwenye bass gitaa
 Waimbaji wa Sikinde wakifanya yao DDC Kariakoo
 Ni mashambulizi kwa kwenda mbele
Wadau wa muziki kutoka kushoto ni Juma Mbizo Kichuna wa Kimakua na Zomboko Rajab Zomboko ambaye ni mtangazaji wa Radio One na ITV

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *