Habari

PICHA 25 ZA DAR MUSICA ILIVYOZINDULIWA MANGO GARDEN

on

BENDI ya Dar Musica inayoongozwa na mwimbaji Jado Field Force,
ilizinduliwa rasmi Ijumaa usiku ndani ya Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Onyesho hilo lililohudhuriwa na mashabiki wengi, lilisindikizwa na
Msondo Ngoma Music Band na Ogopa Kopa ya Khadija Kopa.
Tathimin ya kina ya onyesho hilo utazipata katika Aya 15 za Said Mdoe
siku ya Jumatatu. Kwasasa pata picha 25 za onyesho hilo.
 Dulla Ngoma akipiga tumba
 Mwimbaji wa Dar Musica Eletee ambaye alitisha sana kwa sauti yake tamu
 Rais wa Dar Musica Jado FFU
 Safu ya waimbaji wa Dar Musica
 Mpiga kinanda Fred Manzaka
 Mkurugenzi wa Twanga Pepeta Asha Baraka naye alikuwepo Mango Garden
 Taswira ya ukumbi wa Mango Garden Ijumaa usiku
 Malkia wa Miasho Khadija Kopa (kushoto) akiwachezesha mashabiki wake
 Khadija Kopa
 Dar Musica wakishambulia jukwaa
 Vimwana wa Dar Musica
 Msondo Ngoma jukwaani
 Katibu wa Chamudata  Hassan Msumari (kulia) akitambulisha Makoka mkurugenzi wa Dar Musica. Katikati ni mkurugenzi wa Radio Uhuru Angel Akilimali 
 Waimbaji wa Ogopa Kopa Mwamvita Shaibu (kushoto) na Naima Mohamed wakifuatilia onyesho la Dar Musica
 Jado FFU
 Raja Ladha mmoja wa waimbaji wa Dar Musica
 Sele Kadance akizigonga drum
 Mashabiki wakicheza muziki wa Dar Musica
 Madansa wa Dar Musica jukwaani
 Taswira ya Mango Garden Ijumaa usiku
 Waimbaji wa Dar Musica 
Madansa wa Dar Musica. Wa pili kutoka kushoto ni Abdillah Zungu dansa wa zamani wa Twanga Pepeta aliyewahi kutangaza kuachana na muziki
Shaaban Dede wa Msondo

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *