.Raiola brokered the world record £100million transfer fee which saw Pogba join United

WAKALA wa Paul Pobga - Mino Raiola amesema mchezaji wake bado hajachezeshwa katika nafasi sahihi Manchester United.

Katika mahojiano yake na  de Volkskrant, Raiola akazungumzia namna anavyomuona Pogba chini ya Jose Mourinho hadi sasa hivi.

Raiola  akasema: "Pogba bado anahitaji kupata nafasi sahihi kwenye timu. Kwangu mimi naamini nafasi nzuri kwake ni kucheza kama namba 10 (kiungo mshambuliaji wa kushoto)."

"Kwa nguvu, akili  na mbinu alizonazo ...Pobga angeng'ara zaidi katika nafasi hiyo. Lakini Mourinho ndiyo mwamuzi." 
Super-agent Mino Raiola manages both Ibrahimovic and Pogba and brokered the deal 

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac