RAHEEM STERLING AANDAMWA NA MATUSI KWA KUWEKA PICHA YA BINTIYE MTANDAONI

RAHEEM Sterling amelazimika kuiondoa kwenye mtandao wa kijamii picha ya binti yake inayomwonyesha katika siku yake ya kwanza shuleni, kutokana na kuandamwa na matusi.

No comments