RAIS WA MONACO ADAI CHELSEA, MANCHESTER UNITED "ZILIMUUA" RADAMEL FALCAO KWA KUMBANIA NAMBA VIKOSINI

MAKAMU wa rais wa Monaco, Vadim Vasilyev amedai kuwa klabu za Chelsea na Manchester United zilimuua Radamel Farcao kwa kutompa nafasi ya kutosha ya kucheza na anaamini atatisha sana msimu huu baada ya kurejea katika klabu yake hiyo ya Ligi Kuu ya Ufaransa.

No comments