RANIERI ASEMA HAKUNA MCHEZAJI MWENYE UHAKIKA WA NAMBA KIKOSI CHA KWANZA LEICESTER


KOCHA wa Leicester City, Claudio Ranieri ameonya wachezaji wake kwamba hakuna yeyote kati yao wakiwemo straika Jamie Vardy, 29 na winga Riyad Mahrez, 25, mwenye uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza.

No comments