Habari

REAL MADRID WABANWA NA VILLARREAL NA KUSHINDWA KUVUNJA REKODI YA PEP GUARDIOLA

on

Karim Benzema and Cristiano Ronaldo show their frustrations as Real Madrid failed to break the La Liga wins record
Sergio Ramos ameikoa Real Madrid na kuambulia sare ya 1-1 kwa Villarreal na kushindwa kuvunja rekodi ya Pep Guardiola ya kushinda mechi 16 mfululizo aliyoweka mwaka 201-2011 akiwa na Barcelona.
Real Madrid walifikia rekodi hiyo ya Guardiola Jumapili iliyopita kwa ushindi dhidi ya Espanyol na ilionekana kama itaivunja rekodi hiyo katika mchezo wao wa La Liga dhidi ya Villarreal kwenye uwanja wao wa nyumbani Santiago Bernabeu.
Villarreal ilikuwa ya kwanza kupata bao kwa njia ya penalti iliyopigwa na Bruno Soriano dakika ya 45 kabla Sergio Ramos hajasawazisha dakika yan 48.
Real Madrid: Casilla 6.5, Danilo 6, Ramos 5.5, Varane 6, Marcelo 6 (Carvajal 6, 46), Kroos 6.5, Kovacic 6, James 6.5, Bale 5.5 (Vazquez 70, 7), Benzema 6 (Morata 77), Ronaldo 5.5
Booked: Ramos, Ronaldo, Kroos, Carvajal. 
Villarreal: Asenjo 8, Mario 6.5, Musacchio 6, Ruiz 6, Angel 6.5, Bruno 7, Trigueros 7, Dos Santos 6.5, Castillejo 6, Cheryshev 6 (Soriano 64, 6.5), Sansone 5.5 (Pato 73, 5.5)
They also lost their 100 per cent record at the start of the new La Liga season as they needed Sergio Ramos to equalise
 Sergio Ramos akiisawazishia Real Madrid
The Villarreal players celebrate at the Bernebeu after Bruno Soriano had given them the lead against Real Madrid
Villarreal wakishangilia bao lao la kuongoza

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *