REAL MADRID YAMTUMBUKIA NYONGO GARETH BALE

GARETH Bale hana furaha Real Madrid kutokana na kukaushiwa suala la kuboreshwa mkataba wake na pia kucheza kama kivuli cha Cristiano Ronaldo na wakala wake ameongea na Manchester United.

No comments